Whatsapp: +255 759 075 719

Learn about Shipping. Whatsapp: Available 24/7 at +255 759 075 719

Frequently Asked Questions
Last updated: 05/04/2022
 1. Q: Ofisi zipo wapi?

  A: Ofisi zipo

  172 Chwaku Street,
  Regent Business Park
  A-Wing, 1st Floor
  Mikocheni, Dar es Salaam, Tanzania
 2. Q:Naweza kuja ofisini kwenu?

  A:Ndio. Unaweza kuja ofisini kwetu muda wowote. Siku za kazi ni Jumatatu mpaka Ijumaa.
 3. Q:Je mnafanya cash on delivery?

  A:Kwa sasa hatuna huduma ya cash on delivery. Malipo yatafanyika kabla ya kupokea bidhaa.
 4. Q:Naweza kuja na kulipia ofisini?

  A:Ndio.
 5. Q:Njia za Malipo?

  A:Unaweza kulipia moja kwa moja online kupitia Vodacom Mpesa, Tigo pesa, Airtel Money, card za bank(visa, mastercard) na Bank Transfer
 6. Q:Mnatoa Quotation/ Pro-forma Invoice?

  A:Ndio.
 7. Q:Bidhaa zipo hapa Tanzania?

  A:Ndio. Bidhaa zipo hapa Tanzania na utapata oda yako kwa haraka
 8. Q:Naweza kuomba kupunguziwa Bei?

  A:Ndio.
 9. Q:Naweza rudisha bidhaa?

  A:Hapana. Kama bidhaa uliyonunua ina matatizo na ipo kwenye warrant tutarekebisha na ikishindikana tutakubadilishia na bidhaa nyingine.
 10. Q:Naweza kurudishiwa hela yangu?

  A:Tunarudisha hela kwa mteja kama bidhaa aliyo agiza haipo kwenye stock au kama mteja ame cancel oda ambayo haikuwa confirmed.
 11. Q:Inachukua muda gani kupata oda yangu?

  A:Inategemea na unapoishi na muda ulio weka oda. Kwa Dar es salaam unapata siku uliyoweka oda. Unaweza kusoma zaidi kuhusu delivery hapa
 12. Q:Mnafanya delivery Weekend?

  A:Hapana.
 13. Q:Mnafanya Delivery Mikoani?

  A:Hapana.
 14. Q:Naweza pata Risiti?

  A:Ndio.
 15. Q:Bidhaa ni Mpya au Used?

  A:Bidhaa zote impala ni Mpya.
 16. Q:Je Bidhaa zina warrant?

  A:Ndio. Bidhaa nyingi impala zina warrant na unaweza kuona warrant kwenye kurasa ya bidhaa kabla hujanunua.

All Rights Reserved @ Impala 2023