LED ni Technology ya kioo cha TV yenye maana ya Light Emitting Diode. Smart TV ni TV yenye uwezo wa kuunganishwa na intaneti. Kiufupi TV inaweza kuwa vyote kwa mara moja. TV inakuwa smart tv na kioo chake ni LED. Pia TV inaweza kuwa imetengenezwa na vioo vingine kama QLED, OLED,na LCD.
Soma muongozo huu kuhusu TVAll Rights Reserved @ Impala 2021