Wishlist


Sign In Register
/

About Us


About Us

Uwezo wa kununua bidhaa mbalimbali online hapa Tanzania bila wasiwasi.

Impala inakuwezesha kununua bidhaa online hapa Tanzania kutoka kwa Wafanya biashara waliopo hapa Tanzania.

Wauzaji wote kwenye website hii ni waaminifu na wana maduka yenye leseni. Tuna guarantee Wateja wetu kuwa unaponunua bidhaa kwenye website hii huwezi kutapeliwa.

Bei za bidhaa zinawekwa na wauzaji wenyewe na sisi kama IMPALA hatuongezi bei ya kitu chochote.

wauzaji wetu wanafanya delivery za bidhaa sehemu zote hapa Tanzania Kwa haraka baada ya oda yako kuhakikiwa. Unaweza kupata ulichoagiza ndani ya masaa machache hadi siku 2 inategemea na sehemu uliyopo.

Kwa maswali, ushauri tupigie simu 0759075719

Nunua bila wasiwasi.

Pata taarifa za bidhaa mpya kila wiki.

Jisajili hapa

Customer Services

About Impala Tanzania

Explore Impala

Make Money With Us

All Rights Reserved @ Impala 2020


Follow Us