Matumizi
- lnafaa kuondoa uchafu na harufu mbaya na kuwacha harufu nzuri majumbani, mahospitalini, sehemu za biashara nk: na kuua vijidudu.
- Inafaa kusafishia na kun'garisha vioo katika magari, majumbani, mahospitalini na sehemu za biashara nk.
- Jinsi ya Kutumia
- Puliza katika eneo unalotaka kusafisha kisha sugua kwa Kitambaa kikavu.
Tahadhari
- Kwa matumizi ya Nje tu.
- Weka mbali na watoto.
- Endapo itaingia machoni suuza hiyo sehemu na maji mengi.
Ingredients
- De-Mineralised Water, Non-ionic Surfactant, Colour & Alcohol