Nunua Simu za Infinix Smart 5 online hapa Tanzania. Simu hii ina uwezo wa 2GB RAM pamoja na 32GB Storage. Ina betri yenye uwezo wa kutunza chaji kwa Muda mrefu (5000mah). Hii simu ina screen kubwa ya inch 6.6 na camera yenye uwezo wa 8MP. Nunua simu hii kwa bei poa impala.