- Nunua friji kubwa ya delta milango miwili upande kwa upande (side by side) kwa bei nafuu online hapa Tanzania. Friji ina nafasi kubwa ambayo inatosha kuweka na kuhifadhi chakula, maziwa, matunda, mbogamboga na vingine vingi.
Friji hii haigandishi na inatumia umeme kidogo sana kwa mwezi. Inayo taa ndani.
- Net capacity: 455 L
- Refrigerant: R600a/77g
- Voltage: 220 - 240v
- Frequency: 50Hz
- Current: 2.0A
- Light power: 3w
- Net weight: 78 kg