Jezi Mpya ya Arsenal ya Nyumbani kwa msimu wa 2024/2025. Jezi zimetengenezwa kwa ubora.
- Jezi ya nyumbani size zote zipo
- Jezi nzuri kwa mashabiki wa Arsenal
- Jezi hii ni version ya jezi wachezaji wanazovaa
- Jezi nyekundu inang'aa na nembo maarufu duniani ya Gunners